HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 12 August 2017

KAMPUNI YA EY TANZANIA YAWAKARIBISHA KAZINI WAFANYAKAZI WAPYA

Wafanyakazi wapya wa Kampuni ya EY Tanzania ambao wamejiriwa kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kukaribishwa kazini kwa mara ya kwanza, iliyofanyika katika Hotel ya Best Western Coral Beach, jijini Dar es salaam.  Wafanyakazi hao ambao wako 27 kutoka vyuo mbalimbali, ni wale waliofanyiwa usaili kati ya wengi waliokuwa wameomba kazi kupitia mfuko wa ajira wa Kampuni hiyo uliounganishwa kwa APP maalum ya simu, na walianza kwa kufanyiwa mafunzo maalum ya wiki tatu ya masuala ya uhasibu na uhandishi.
Baadhi ya Wafanyakazi hao wapya wa Kampuni ya EY Tanzania wakipata Selfie ya kumbukumbu kutoka kwa mmoja wao.
Taswira mbalimbali katika mchaparo huo.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad