HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 30, 2017

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAFANYA ZIARA YA KAMATI CHUO CHA KODI NA UHASIBU

Mkuu wa Chuo cha Uhasibu (TIA)  cha Jijini Dar es Salaam, Dkt. Joseph Kihanda akisoma taarifa ya utekezaji wa majukumu ya Chuo hicho kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara chuoni hapo.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika katika mkutano na Menejimenti ya Chuo cha Kodi wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara kutembelea Chuo hicho kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa majukumu ya chuo hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad