HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 1 August 2017

BREAKING NEWS: KESI YA WEMA SEPETU KUUNGURUMA MCHANA HUU

 Wema Sepetu, akitoka mahakamani baada ya kesi yake kuahirishwa hadi saa Sita na nusu mchana, ambapo mkemia atakuja kutoa ushahidi wake dhidi ya kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili yeye pamoja na wafanyakazi wake wawili.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad