Wanafunzi na watu mbalimbali wakiwa katika banda la Chuo Kikuu Dar es salaam wakifuatilia namna ya kudahili kozi mbalimbali za Chuo hicho kwenye maonesho ya elimu ya Juu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wanafunzi na watu mbalimbali wakiwa katika Global Education Likn wakifuatilia namna ya kudahili nje ya nchi katika vyou mbalimbal kwenye ikiwa ni maonesho ya elimu ya Juu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.Wanafunzi na watu mbalimbali wakiwa katika banda la Chuo cha Ardhi wakifuatilia namna ya kudahili kozi mbalimbali za Chuo hicho kwenye maonesho ya elimu ya Juu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wanafunzi na watu mbalimbali wakiwa katika banda la Dar es salaam Institute of Technology wakipata maelezo mbalimbali ya namna ya wanafunzi wa chuo hicho wanavyotengeneza vifaa kazi mbalimbali pamoja kutoa nafasi kwa wanafunzi kudahili kozi mbalimbali za Chuo hicho kwenye maonesho ya elimu ya Juu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wanafunzi na watu mbalimbali wakiwa katika banda la Chuo cha Mzumbe wakifuatilia namna ya kudahili kozi mbalimbali za Chuo hicho kwenye maonesho ya elimu ya Juu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
Wanafunzi na watu mbalimbali wakiwa katika banda la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) wakipata maelezo ya namna ya kudahili kozi za Chuo hicho kwenye maonesho ya elimu ya Juu yanayofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.
No comments:
Post a Comment