HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 21 July 2017

WAJASIRIAMALI WAKIWA KAZINI


 .Kamera imenasa wakazi wa jiji Dar es Salaam wajasiliamali maarufu kama machinga wakiandaa biashara zao leo katika soko la Karume Ilala.
Machinga akisafisha viatu ili kwa kuingiza sokoni katika soko la Ilala jijini Dar es Salaam.
.Watembea kwa miguu wakikwepa shimo lililopo katika barabara ya Kilwa jijini Dar s Salaam.

Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad