

Afisa mawasiliano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya akizungumza na wanahabari kwenye maonesho ya biashara ya 41 sabasaba jijini Dar Es Salaam mapema mwishoni wa wiki iliyopita., kulia ni Meneja wa mawasiliano Tigo Tanzania, Woinde Shisael na kushoto Meneja vifaa vya Intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga.

Meneja wa mawasiliano Tigo Tanzania, Woinde Shisael akifafanua jambo kwa waandishi wa habari . Pichani kulia ni Afisa mawasiliano wa Tecno Tanzania, Eric Mkomoya na kushoto Meneja vifaa vya Intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga.

Mwandishi wa habari wa Clouds Media, Aziz Kindamba akionesha simu aina ya TecnoX1 aliyoshida kwenye droo ilichezeshwa kwenye banda la Tecno mapema mwishoni wa wiki iliyopita.

Mwandishi wa habari wa gazeti la Habarileo, Regina Kumba akionesha simu aina ya Tecno R6 aliyoshida kwenye droo ilichezeshwa kwenye banda la Tecno leo.

Waandishi wa habari wakipokea zawadi mbalimbali toka kampuni ya Tecnokwenye maonesho ya 41 ya sabasaba jijini Dar mapema mwishoni wa wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment