HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 9 July 2017

MKUU WA WILAYA TEMEKE ATEMBELEA MAONESHO YA 41 YA BIASHARA YA KIMATAIFA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke , Felix Lyaniva akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Usimamizi na Utawala wa Mifumo ya Tehama wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), Bernard Ntelya wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
 .Mkuu wa Wilaya ya Temeke , Felix Lyaniva akisaini kitabu cha wageni katika banda la PPRA katika maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam
  Mkuruegenzi wa Michuzi Media Group, Issa Michuzi (wa Kwanza Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadau katika katika maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.katikati ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi , Sebera Fulgence ,kulia ni Mmiliki wa Blog ya KVS Khalfan Said .
  Watalam wa VETA wakifundisha wananchi hawapo pichani juu ya utengenezaji wa sambuza waliotembelea banda la VETA katika maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.

 Wananchi waliofika katika maonesho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad