Mtaa Kwa Mtaa Blog

RC SHINYANGA AKABIDHI MWENGE WA UHURU RC TABORA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mheshimiwa Zainab Telack akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka mmoja wa wakimbiza mwenge kitaifa ili aukabidhi mwenge huo kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mheshimiwa Aggrey Mwanri (wa kwanza kushoto) leo Jumapili Julai 16,2017katika Kijiji cha Sigiri kata ya Sigiri halmashauri ya wilaya ya Nzega -Picha zote na Kadama Malunde- Malunde1 blog
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mheshimiwa Zainab Telack akikabidhi mwenge wa Uhuru kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Aggrey Mwanri. 
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Mheshimiwa Zainab Telack akitoa hotuba fupi kuhusu mbio za mwenge mkoani Shinyanga wakati akikabidhi mwenge huo kwa Mkuu wa mkoa wa Tabora, Mheshimiwa Aggrey Mwanri.Kulia ni Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2017, Amour Hamad Amour.

Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget