HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 6 July 2017

MEYA WA JIJI NA KINONDONI WATEMBELEA BANDA LA AFRI TEA KATIKA MAONESHO YA 41 YA SABASABA

Meya wa Jiji  la Dar es Salaam ,Isaya Mwita akiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni,  Benjamin Sitta wakipata maelezo  kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa  VETA, Sitta Peter juu bidhaa walizonazo katika maonesho ya 41 ya biashara  kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam. 
Meya wa Jiji  la Dar es Salaam ,Isaya Mwita akiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni,  Benjamin Sitta wakiwa katika banda la Afri Tea Blenders  LTD. katika maonesho ya 41 ya biashara  kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad