HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 30 June 2017

Waziri Mwijage aipongeza serikali ya Norway

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi  kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil yenye makao yake makuu nchini Norway, iliyoyangika kwenye Hotel Hyatt Regency jijini Dar es Salaam leo. Waziri Mwijage ameipongeza serikali ya Norway kwa kuona umuhimu wa kuwekeza kwenye GAS hapa nchini, kwani wao wamekuwa ni wakongwe kwenye sekta hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Borge Brende akizungumza na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha iliyoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.
Meneja Mkazi wa Statoil Tanzania, Oystein Michelsen akiongea na wadau mbalimbali wa maswala ya Gesi kwenye warsha lililoandaliwa na kampuni ya Satoil jijini Dar Es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Statoil Tanzania, Genevieve Kasanga akizungumza katika warsha hiyo.
Wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye warsha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad