HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 16 June 2017

WAPIGA DEBE WAKITAKA CHAO KUTOKA KWA KONDA WA DALADALA

 Katika pita pita, Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog iliinasa snap hii huko Mbagala Rangi Tatu, wakati wapiga debe wakila sahani moja na Konda wa daladala baada ya kufanya kazi yao hiyo, huku gari ikiingia barabara tayari kwa kuendelea na safari yake.
Baada ya kuzongana sana, kikaeleweka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad