HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 5 June 2017

WANAFUNZI WA CHUO CHA TUMAINI MAKUMIRA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO BUNGE LA EAC

 Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Tumaini Makumira, wakifatilia moja ya vikao vya Bunge la Afrika Mashariki lililoanza kukaa hivi karibuni katika Ukumbi wa Bunge hilo, Jijini Arusha. Wanafunzi hao walikuwa ni sehemu ya wageni waliotembelea Bunge hilo ili kulionena na kujifunza namna linavyofanya kazi zake ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya masomo. 
Naibu Balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ambaye pia ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Tumaini Makumira, Suzane William Mollel (kulia) akiwa na wenzake wakati wakifatilia moja ya vikao vya Bunge la Afrika Mashariki lililoanza kukaa hivi karibuni katika Ukumbi wa Bunge hilo, Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad