HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 16 June 2017

UCHAGUZI TFF: MICHAEL WAMBURA ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS


Mwenyekiti wa Cha Soka Mkoa wa Mara (FAM) Michael Wambura akionesha fomu ya kugombea nafasi ya makamu wa Rais wa 
Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF)
 .
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mwenyekiti wa Cha Soka Mkoa wa Mara (FAM) Michael Wambura amechukua fomu ya kugombea nafasi ya makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF).


Wambura anakuwa kiongozi wa kwanza kuchukua fomu kugombea nafasi ya makamu wa rais wa TFF . Michael Wambura  aliwahi  kuteuliwa katika kamati ya utendaji ya Simba na aliyekuwa Rais wa klabu hiyo Ismail Aden Rage.


Wambura amewahi kuwa katibu mkuu wa Simba na ndiye alikuwa mtu wa kwanza kumshinda Rage katika nafasi ya ukatibu mkuu wa Chama cha Soka Tanzania (FAT)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad