HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 5 June 2017

KATIBU WA NEC SIASA NA UHUSIANO WA KIMATAIFA KANALI MSTAAFU NGEMELA LUBINGA AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA OFISI YA CCM KATA YA IZIWA NA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAHAFARI YA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MBEYA..

Baadhi yavijana wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mbeya wakimpokea Katibu wa Nec Siasa na Uhusiano wa kimataifa Kanali mstaafu Ndugu, Ngemela Lubinga alipo wasili katika Ofisi za Ccm Mkoa wa Mbeya katika ziara yake ya kikazi.
Katibu wa Nec Siasa na Uhusiano wa kimataifa Kanali mstaafu Ndugu, Ngemela Lubinga aikishiriki ujenzi wa Ofisi za chama cha mapinduzi katika kata ya Iziwa iliyopo ndani ya jiji la mbeya, ambapo Katibu wa Nec Siasa na Uhusiano wa kimataifa Kanali mstaafu Ndugu, Ngemela Lubinga alichangia ujenzi huo kwa kutoa mifuko kumi (10) ya Simenti..
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Iziwa mbeya wakimsikiliza kwa makini Katibu wa Nec Siasa na Uhusiano wa kimataifa Kanali mstaafu Ndugu, Ngemela Lubinga wakati akihutubia..
Miss Tanzania namba mbili 2006 na Kaimu Katibu Hamasa wa Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo akitoa neno kwa wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu vya mbeya katika maafari ya vijana wa umoja wa chama cha mapinduzi katika vyuo na vyuo vikuu vya mbeya, Hafra hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mkapa mara baada ya Katibu wa Nec Siasa na Uhusiano wa kimataifa Kanali mstaafu Ndugu, Ngemela Lubinga kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi za chama cha Mapinduzi Ccm Katika Kata ya Iziwa.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad