HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 6 June 2017

DIWANI KATA YA PUGU KWA KUSHIRIKIANA NA MISS UBUNGO 2014 WAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI SHULE YA MSINGI MINAZI MIREFU

 Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato wakiongozana na Wanafunzi wa shule ya Msingi minazi mirefu, Ukonga Jijini Dar es salaam jana Juni 5, 2017 wakati wa zoezi la kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani, ambapo walifanya usafi katika eneo lote la shule hiyo pamoja na kupanda miti.
 Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akiwa na Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato wakijiandaa kupanda mti katika moja ya eneo la shule ya Msingi minazi mirefu jana Juni 5, 2017.
 Diwani wa Kata ya Pugu, Boniventure Mphuru akipanda mti katika eneo la shule ya Msingi minazi mirefu jana Juni 5, 2017.
 Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato akipanda mti shuleni hapo.
Muanzilishi wa Mradi wa CLEAN WATER SANITATION AND HYGIENE ambaye pia ni Miss Ubungo 2014, Diana Joachimu Kato akiwa pamoja na baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Msingi minazi mirefu, Ukonga jijini Dar es salaam baada ya kufanya usafi wa mazingika katika eneo la shule hiyo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad