HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 14 June 2017

BALOZI PINDI CHANA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS UHURU KENYATTA

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta kabla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwenye Ikulu ya Eldoret tarehe 13 Juni 2017.
Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya (katikati) mara baada ya zoezi la kuwasilisha Hati za Utambulisho kukamilika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad