HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 17 May 2017

UHARIBIFU WA BARABARA KUTOKANA NA MVUA ILIYOKUWA IKINYESHA WIKI MOJA ILIYOPITA

 Barabara ya Dunga iliyopo Konondoni Biafra ikiwa imejaa  maji kutokana mvua ambayo iliyonyesha wiki moja iliyopita sasa mafundi wakiendelea na utoaji maji  katika barabara hiyo jijini Dar es Saam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
 Wananchi wakikwepa dimbwi la maji katika barabara iliyopo Konondoni Biafra jijini Dar es Salaam.
Gari ikipita katika dimbwi la maji katika barabara iliyopo Konondoni Biafra jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad