HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 27 May 2017

RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Gianni Infantino ameandika Barua ya kuipongeza timu ya Yanga kwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo. isome barua hiyo hapo chini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad