Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa leo jumapili Mei 7, 2017 amefika katika hospitali ya taifa Muhimbili kumjulia hali Mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini, Mh. John Heche anaeendelea kupatiwa matibabu hospitalini hapo baada ya kuugua alipokuwa Bungeni mjini Dodoma hivi karibuni.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini, Mh. John Heche anaeendelea kupatiwa
matibabu hospitalini hapo baada ya kuugua alipokuwa Bungeni mjini Dodoma
hivi karibuni.
Sunday, May 7, 2017

LOWASSA AMJULIA HALI MBUNGE WA TARIME VIJIJINI ALIELAZWA MUHIMBILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment