HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 4 April 2017

WAZIRI MKUU ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA MBUNGE DR ELLY MACHA


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mbunge Dr Elly Marko Macha , katika Viwanja Bunge Mjini Dodoma  March 03, 2017 .Mbunge huyo amefariki hivi karibuni alipokuwa kwenye matibabu Nchini Uingereza. Picha na PMO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad