HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 15 April 2017

OFISI YA RAIS TAMISEMI NA WABUNGE WAONGOZA MAZOEZI DODOMA KUMUUNGA MKONO MAKAMU WA RAIS KATIKA KUFANYA MAZOEZI.

Vikundi vya Jooging kutoka Dodoma vikiwa katika mazoezi ya kukimbia kutoka Viwanja vya Nyerere Square hadi Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.
Vikundi vya Jooging kutoka Dodoma vikiwa katika mazoezi ya viungo katika viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.
Mbunge wa Buyungu Mhe. Kasuku Bilago(kushoto) na Mbunge wa Kiwani (Zanzibar) Mhe. Abdalla Haji Ali (kulia) wakifanya mazoezi ya viungo katika katika viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma ikiwa ni kuunga mkono wito wa Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan wa kufanya mazoezi.
Mratibu wa Michezo Kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Salum Mkuya akizungumza navikundi vua Jogging Club wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika Viwanja vya Kilimani Club Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad