HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 4 April 2017

MVUA YATIBUA MIUNDOMBINU JIJINI DAR

 Dereva wa bodaboda akikatiza  dimbwi la maji lililopo katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Morogoro
 Basi la Mwendo kasi likiwa katika barabara ya Morogoro  ambayo imejaa maji
 Baiskeli za wauza lambalamba  zikiwa zimepaki kutokana na kushindwa kutembea kutokana na mvua kubwa kunyesha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad