HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 4 April 2017

KAMPUNI YA ENGEN YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Muhato akisafisha kioo cha moja ya magari ya wateja waliofika kuweka mafuta kwenye Kituo cha Engen Mbezi Beach jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni wiki ya huduma kwa wateja waliyoanza rasmi leo.
 
 Sehemu ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania wakionyesha ishara ya kuwakaribisha wateja mbalimbali wa Mafuta walioenda kuweka mafuta kwenye Kituo chao kilichopo Mbezi Beach, Jijini Dar es salaam. Engen wanaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kuanzia leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya Engen Tanzania, Paul Muhato (wa pili kulia) akijadiliana jambo na Afisa Mauzo wa Vilainishi wa Kamkuni hivyo, Abdallah Kijangwa (wa pili kushoto). Wengine ni Meneja wa Vituo vya Mafuta wa Kampuni hiyo, Emmy Mwinguka (kulia) na Leyla Mohamed.
 Mmoja wa Mafundi wa Magari wa Kampuni ya Engen Tanzania akiweka Oil katika moja ya gari baada ya kudundua kuwa imefungua.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad