HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 5 April 2017

JOSE MARA AONGOZA MAPACHA BENDI KATIKA SHOO YA KUMUAGA KAMISHNA MSTAAFU WA BIMA

 Kiongozi wa bendi ya Mapacha Bendi Jose Mara akiongoza safu wa uimbaji wa bendi hiyo katika shoo ya kumuaga  Kamishna wa TIRA , Islael Kamuzora
 Mpiga Drum wa bendi hiyo ,Computer Drama akifanya yake katika shoo hiyo
 Mpiga Tumba wa bendi hiyo Njeki Mponda akipiga tumba katika shoo hiyo ya Mapacha Bendi
 James Bezi akitumbuiza nadani ya ukumbi wa Serena Hotel
 Erasto Mashine mpiga Kinanda wa bendi ya Mapacha Bendi akifanya yake katika shoo hiyo
 Mpiga gitaa , Kombora Solo akionyesha ujuzi wake ndani ya Mapacha Bendi ilipofanya shoo ya kumuaga Islael Kamuzora
Kiongozi wa Mapacha Bendi Jose Mara akionyesha umahiri wa kuimba mbele ya watu waliofika kushuhudia shoo hiyo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad