HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 24 April 2017

BARNABA AWAKOSHA WANA MBEYA KATIKA BASH LA CHUO CHA UHASIBU JIJINI HUMO

 Mwana muziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Freva maarufu kwa jina la Barnaba akifanya makamuzi ya nguvu kwa stage huku mashabiki wa muziki wake wakimpokea kwa kushangilia jinsi anavyoenda nao sawa katika sherehe ya kukalibisha awamu nyingine katika nyanja mbalimbali kwa wanafunzi wa chuo cha Uhasibu jijini Mbeya..PICHA ZOTE NA MR,PENGO MICHUZI MEDIA.
Baadhi ya wanafunzi na wapenda burudani wa jiji la Mbeya wakishangweka na muziki mzuri kutoka kwa Barnaba boy aliyekuwa akiwapagawisha kwenye stage usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Tughimbe Jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad