HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 7 March 2017

YANGA YAIFUNDISHA SOKA KILUVYA UNITED, YAIPIGA 6-1


 Saimon Msuva akiwania mpira na beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya. 
 Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya (kushoto), akimtoka, Hassan Ramadhani.
 Beki wa Kiluvya United, Aloyce Nkya akimiliki huku akizongwa na mshmabuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa.
 Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi akitolewa kwa machela baada ya kuumia.
 Mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadhi akipata huduma ya kwanza baada ya kuumia katika mchezo wa Kombe la Shirikisho.
 Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5
 Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la 5.
 Mshambuliaji wa Yanga, Saimon Msuva, akimtoka mlinda mlango wa timu ya Kiluvya United, Philimon Ramadhani katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (Azam Federation Cup), uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Nyota wa mchezo, Obrey Chirwa akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Hery Sasii wa Dar es Salaam, baada ya kuifungia timu yake 'hat trick'.
 Beki wa Yanga, Hassan Kessy akitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mchezo.
Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi (kulia), akibadilishana  mawazo na Kocha Mkuu wa timu hiyo, George Lwandamina baada ya kumalizika kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho (Azam Federation), uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru ambapo Yanga iliifunga Kiluvya United 6-1.  (Picha na Francis Dande).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad