HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 24, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: WAZIRI MHAGAMA AFUNGA MKUTANO WA 26 WA WANACHAMA WA MFUKO WA PPF JIJINI ARUSHA LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akitoa hotuba yake wakati akifunga Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF uliokuwa na kauli mbiu ya "Tanzania ya Viwanda, Umuhimu na Wajibu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii", uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa, akizungumza machache katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF uliokuwa na kauli mbiu ya "Tanzania ya Viwanda, Umuhimu na Wajibu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii", uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko Pensheni wa PPF, Ramadhan Khijjah akizungumza wakati akitoa shukrani wa viongozi na washiriki wengine wa Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF, uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
 Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Daniel Gabriel Daqarro akichangia moja ya mada zilizowasilishwa katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF, uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF, uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko Pensheni wa PPF, Ramadhan Khijjah wakati wakijadiliana jambo, katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF, uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (TSSA), Meshack Bandawe akizungumza wakati alipowasilisha taarifa ya maendeleo ya mifuko mbalimbali, katika Mkutano wa 26 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko Pensheni wa PPF, uliokuwa ukifanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
























































No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad