HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 17 March 2017

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA OFISI ZA AIRTEL TANZANIA

 Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano Airtel, Bi Beatrice Singano Mallya  (kushoto), akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akitoa maelezo kuhusu mitambo ya mawasiliano ya simu kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
 Meneja kitengo cha network wa Airtel Tanzania, Emmanuel Luanda akitoa maelezo kuhusu mitambo ya mawasiliano ya simu kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati walipotembelea ofisi za Airtel.
 Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano Airtel, Bi Beatrice Singano Mallya akitoa maelezo juu ya kwa kamati ya kudumu ya Bunge miundombinu wakati walipotembelea ofisi za Airtel  makao makuu.
Meneja kitengo cha network wa Airtel Tanzania, Joseph Mwaikambo akiwaonyesha baadhi ya wajumbe wa kwa kamati ya kudumu ya Bunge miundombinu vifaa mbalimbali vya mawasiliano wakati walipotembelea kituo cha mtandao kilichopo makao makuu ya Airtel Morocco.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad