HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 6 March 2017

ILIYOTUFIKIA HIZI PUNDE: MBUNGE TUNDU LISSU AKAMATWA NA POLISI MCHANA HUU

Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaelezwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita na anashikiliwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) jijini Dar es Salaam. Hadi sasa polisi hawajasema sababu ya kumkamata na kumshikilia Tundu aliekamatwa punde tu baada ya kutoka Mahakama ya Kisutu ambako kesi dhidi yake kuhusu tuhuma za uchochezi ilikuwa imefutwa na mahakama hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad