HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 17 February 2017

Rais wa Zanzibar Dk Shein Akutana na Mkurugenzi wa NMB Tanzania.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ineke Bussemaker, alipofika Ikulu Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsindikiza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi Ineke Bussemaker, baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania baada ya mazungumzo yao Ikulu leo 

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad