HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 24 February 2017

MKE WA ALIYEKUWA BILIONEA ERASTO MSUYA AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

 Mke wa aliyekuwa Bilionea Erasto Msuya na mwenzake Revocatus Muyela wakiwa mahakamani wakisubiri kusomewa mashtaka yao mapya ya mauaji baada ya Jana kuachiwa huru na kisha kukamatwa tena.   
Mrita na mwenzake wanatuhumiwa kumuua kwa kukusudia Aneth Msuya ambaye ni Dada wa Marehemu wa Bilionea Msuya 
Washtakiwa hao wakijadili jambo na wakili wao Peter Kibatala(wa pili kutoka kushoto)

Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad