Mtaa Kwa Mtaa Blog

DC MBEYA AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA MBEYA KATIKA HOSPITARI YA RUFAA..

Mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Mh.William Ntinika wapili kushoto akiwa katika chumba alicho lazwa Mwenyekiti wa Ccm wilaya ya mbeya mjini Ndugu Ephraim Mwaitenda ambe kalazwa katika hospitali ya rufaa jijini Mbeya kuajili ya matibabu ya kutolewa Goroli za lisasi zilizo baki mwilini mara baada ya kupigwa risasi na mtu asie julikana mnamo tarehe- 29 januari Mwaka huu nyumbani kwake usiku akiwa amelala.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget