HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 1 February 2017

Dawasco yaendelea na Zoezi la Ubadilishaji Mita za Maji chakavu

Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Ilala, Christian Kaoneka pamoja na fundi kutoka DAWASCO wakibadilisha mita ya Maji chakavu ya mteja kutoka maneneo ya Mtaa wa Jamhuri jijini Dar es Salaam ikiwa ni katika mwendelezo wa Zoezi la ubadilishaji wa mita za Maji chakavu zote kwa jiji la Dar es Salaam na Miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad