HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 18, 2017

TIC YAALIKA MAKAMPUNI YA TANZANIA KUSHIRIKI KONGAMANO LA UWEKEZAJI BAINA YA TANZANIA NA UTURUKI

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini-TIC,Clifford Tandari akizungmza na Globu ya Jamii kuhusu Kongamano la Uwekezaji baina ya Makampuni ya Tanzania na Uturuki litakalofanyika Januari 23 mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT).

Kongamano hilo litahususha Makampuni 157 kutoka Uturuki ambayo yatakuwa katika Sekta mbalimbali kama vile Nishati, Madini, Afya, Uchukuzi, Utalii, Maliasili, Kilimo, Mifugo, Chakula na Vinywaji.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad