Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mh. Amos Makalla akizungumza na wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo ikiwa ni utaratibu wake wa kusikiliza kero za wananchi wa mkoa wa mbeya kila Alhamis ya mwanzo na mwisho mwa mwezi na jana Alhamis ya Tarehe 26 ya mwezi Januari amekutana na baadhi ya wananchi wa watokao maeneo tofauti mkoani Mbeya na kueleza kero zao na kutatuliwa papo kwa papo na idara husika.PICHA NA MR PENGO-MMG MBEYA
Bi. Fidea Lukas Mwakanyamale akitoa kero kwa mkuu wa mkoa kuhusu jinsi alivyo mwagiwa tindikali na muajili wake Wilayani Chunya mkoa wa Mbeya..
Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Mbeya wakitua kero zao mbele ya mkuu wa mkoa alipokutana na wananchi hao

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akitolea majibu maswali pamoja na hoja za wananchi waliofika kuwasilisha kero zao kwa mkuu wa mkoa huyo katika ukumbi mdogo wa Mkapa jijini Mbeya.
Baadhi ya wananchi na wadau wa mkoa wa Mbeya wakimsikiliza mkuu wa Mkoa alipokuwa akijibu hoja za wananchi kwenye ukumbi mdogo wa Mkapa jijini Mbeya .
Mkutano ukiendelea
No comments:
Post a Comment