HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 21, 2017

NAIBU MEYA ILALA AWATAKA WENYE VIWANDA KULINDA MASLAHI YA WAFANYAKAZI

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akizungumza na wadau wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha dawa cha ZENUFA.
Mkurugenzi wa kiwanda cha Zenufa Laboratories Ltd,Hitesh Upret akizungumza na wadau wa wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho na muonekano wa alama mpya.
Afisa Tarafa Ilala , Edita Samson akizungumza kwa niaba ya mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya dawa ya Zenufa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad