HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 30, 2017

MV. MAGOGONI NA MV. KIGAMBONI ZAENDELEA KUTOA HUDUMA ZA USAFIRI KWA WANANCHI JJINI DAR ES SALAAM.

 Abiria wakipanda katika kivuko cha Mv. Magogoni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya Ferry na Magogoni, leo Jijijini Dar es salaam.
Abiria wakishuka kutoka katika kivuko cha Mv. Kigamboni kinachotoa huduma ya usafiri kati ya eneo la Magogoni na Feri, leo Jijijini Dar es salaam.


Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad