Mtaa Kwa Mtaa Blog

MECHI YA YANGA NA MWADUI KATIKA UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR HIVI SASA

Mtanange kati ya Yanga na Mwadui Fc ikiwa ni muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, unaendelea hivi sasa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku timu zote zikionyesha kusambuliana kwa zamu. kipindi cha pili cha mchezo huo kimeanza hivi punde na Yanga inaongoza kwa bao 2-0 yaliyowekwa kimiani na Mshambuliaji Obrey Chirwa.Globu ya jamii iko uwanjani hapa kukuhabarisha kinachoelezea.
 Kikosi cha Mwadui FC.
 Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akipimana ubavu na Malika Ndeule wa Mwadui Fc, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara, unaendelea kuchezwa hivi sasa katika Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Yanga inaongoza kwa bao 1-0.
 Kipa wa Mwadui, Shaaban Kado akijiandaa kuupiga mpira.Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget