HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 6, 2016

WASAFWA NA TALUMBETA LA ASILI MAARUFU KWA JINA LA MBETA....

Watoa Burudani maarufu Jijini Mbeya watumiao vitendea kazi vya kiasili kutoka kwenye kabila lao la Wasafwa chimbuko Mkoani Mbeya wakiyaliza Matalumbeta yao ya Asili wayaitwayo kwa jina la Mbeta wakati wakitowa Burudani.
Mbeta ikipulizwaaa hapo ni lazima ucheze tuu.
Baadhi ya Wasanii wa nyimbo za Asili kutoka kwenye kabila la Kisafwa wakiendelea kutoa Burudani kwenye moja ya hafra huku Vifaa vyao vya kazi vikiwa ni vya kiasili zaidi ikiwemo Mbeta.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad