HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 6, 2016

KITUKO:ACHEZA MZIKI MPAKA ALALA CHINI YA SAKAFU HUKOO MBEYA MJINI...

Kijana mmoja ambae majina yake yamehifadhiwa akiwa chini amelala kwenye sakafu marabaada ya muziki mzito ulio kuwa ukilindima na kupelekea kumchosha na hatimae kujilaza chali kama ambavyo aonekanavyo hapo katika taswira akiwa hoi bin taabani.
Jicho nyanya likionekana kwa mbali huku wengine wakiendelea kuburudika ndani ya ukumbi.
Burudani ikiendelea kwenye moja ya kumbi za starehe jijini mbeya ambapo mdau alielala chini akiwa kifuwa wazi akitabasamu huku akiwa ajiwezi kuinuka wala kusogea sehemu yoyote na pia alikuwa tayari kaisha tanguliza maji ya mende kinywani mapemaaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad