Mtaa Kwa Mtaa Blog

WAZIRI WA UTAMADUNI NA SANAA WA AFRIKA YA KUSINI ATEMBELEA KITUO CHA MAENDELEO DAKAWA NA MAKABURI YA WAPIGANIA UHURU WA CHAMA CHA ANC MKOANI MOROGORO

Kaimu Mkurugenzi kituo cha Maendeleo Dakawa Bw. Elasto Nywage(kulia) akitoa maelezo ya kituo hicho kwa Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa wakati Waziri huyo na ujumbe wako walipotembelea kituo hicho na kujionea makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC.
Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa akizungumza na viongozi wa Kituo cha Maendelo Dakawa (hawapo pichani) wakati Waziri huyo na ujumbe wake walipotembelea kituo hicho na kujionea makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC.
Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(katikati) akiangalia makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC yaliyopo Dakawa wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa akiweka shada la maua katika eneo maalum katika makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC yaliyopo Dakawa wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Eneo la makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC yaliyopo Dakawa wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi kituo cha Maendeleo Dakawa Bw. Elasto Nywage(kulia) akimuonesha Waziri wa Utamaduni na Sanaa wa Afrika ya Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(katikati) bango linaloelezea kuwa eneo hilo ndipo yalipo makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC katika wilayani Kilosa mkoani Morogoro.
Bango linaloelezea kuwa eneo hilo ndipo yalipo makaburi ya wapigania Uhuru wa Afrika ya Kusini kutoka Chama cha ANC wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget