Mtaa Kwa Mtaa Blog

WATUMISHI KUTOKA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA WANOLEWA

Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena , akiwasilisha maada juu ya jinsi ya kuingiza masuala ya jinsia katika mpango kazi wa taasisi wakati wa kikao kazi cha watumishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kilichofanyika leo katika ukumbi wa ofisi za Bunge.
 Baadhi ya Watumishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa wakifuatilia kwa makini
Picha ya pamoja ya Prof. Ruth Meena na watumishi kutoka ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget