Mtaa Kwa Mtaa Blog

UJUMBE WA KIBIASHARA KUTOKA UHOLANZI WAWASILI ZANZIBAR

 Mkurugenzi masoko katika shirika la ZSTC Salum Abdalla akizungumza na Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi ambao umewasili Zanzibar kwa Ziara ya Siku Tatu hapo ofisni kwake Maisara Zanzibar.
 Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi Ukiwa katika Picha ya pamoja baada ya kumaliza mazungumzo na Mkurugenzi masoko katika shirika la ZSTC Salum Abdalla hapo ofisini kwake maisara Mjini Zanzibar.
 Ujumbe wa kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia namna ya Usafishaji wa Karafuu katika Ghala lililokuwepo kwa abasi useni Mjini Zanizbar.
 Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi ukitembelea katika Ghala la Karafuu lililokuwepo malindi Zanzibar na kujionea uchambuaji wa karafuu na mashine za Usafishaji.
Ujumbe wa Kibiashara kutoka Uholanzi wakiangalia mashine maalum ya kusafishia karafuu katika Ghala la Malindi mjini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget