Mtaa Kwa Mtaa Blog

TASWIRA MBALIMBALI MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOANI MBEYA...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla akihutubia mamia ya watu Hawapo pichani walio hudhuria sherehe ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama, Sherehe iliyo fanyika kimkoa katika Uwanja wa Ccm Rwanda Nzovwe jiji la Mbeya, Sherehe hii iliyo wagusa wadau mbalimbali ikiwepo, Jeshi la Polisi, Wanafunzi, Mashirika ya kiserikali na Mashirika binafsi Pamoja na wananchi wote kwa ujumla katika jukumu la Kuzuia na Kupinga ajari za barabarani kwa kutii sheria Bila Shuruti.
Picha zote na Mr.Pengo wa Mmg Mbeya.


 Bendi ya askali magereza ikiongoza maandamano ya sherehe ya wiki ya nenda kwa usalama yaliyo anzia maeneo ya soweto mpaka uwanjani Rwanda Nzovwe.

 Baadhi ya madereva wa pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda wakiwa wamepozi kwa utulivu.
 Mkuu wa mkoa wa Mbeya na mgeni rasmi wa sherehe ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama Mh.Amos Makalla akipata picha ya pamoja na wadau wa Usalama Barabarani.
Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget