Mtaa Kwa Mtaa Blog

RATIBA YA VIPORO LIGI KUU IKO PALE PALE - TFF

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limeendeleza msimamo wake wa mechi za ligi kuu kuchezwa  kesho hasa baada ya timu ya Ruvu Shooting kulalamika uchovu wa safari  baada ya kutoka Kagera na kutembea zaidi ya masaa 22 barabarani.

Michezo hiyo inahusisha pia timu za Mwadui ya Shinyanga na Azam FC ambayo ilipewa jina la Mechi Na. 57 itachezwa Uwanja wa Mwadui wakati Simba itasafiri hadi Mbeya kucheza na Tanzania Prisons katika mchezon Na. 60 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine.

Mechi zilipangiwa ratiba, lakini tarehe zake hazikupangwa (TBA). Tayari Bodi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), lakini mpaka kufika asubuhi ya leo timu ya Ruvu Shooting imeweka wazi kuwa hawatapeleka timu uwanjani kutokana na hali halisi ilivyo ya uchovu kwa wachezaji 


Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget