HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 30, 2016

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA KENYA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Kenya katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Chirau Ali Makwere alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Balozi wa Kenya katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Chirau Ali Makwere alipofika Ikulu Mjini Unguja leo. (Picha na Ikulu.)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad