Mtaa Kwa Mtaa Blog

DODOMA YAPIGWA MSASA KWA USAFI...

Katika Katiza katiza ya libeneke hili katika Mji Mkuu wa Tanzania Dodoma Na kujionea hali halisi iliyopo Mjini hapo katika Swala la Usafi Kwakeli Dodoma Hali ni Shwari kabisa maeneo mbalimbali ya Mji mkuu Yanapendeza na Kumeremeta pia Kama ambavyo Taswira ya mnara Unao utambulisha Mji Huo ukiwa Nadhifu.
Baadhi ya Akinamama Wanao Husika Na Kufanya Usafi Mji Mkuu Dodoma Wakiwa Katika Usafi wa Mazingira Kama Ilivyo Kawaida Kwao kuhakikisha Mji Mkuu Dodoma Unatakata Kila Kuitwapo Leo.
Moja Kati ya Mtaa Mashuhuri sana Mjini Dodoma mkabala na Nyerere Square Ukimeremeta pia kwa Kuwa Safi Kama Ambavyo Unekanavyo Katika Taswira.
Mambo ni Safi Sanaa Dodoma..
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.
Hakuna uchafu wowote Pembezoni Mwa Bararaba za Mji Mkuu Wa Tanzania Dodoma.
Mji safi Sanaa Mambo ni Shwari Kabisaaa..

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget