
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu misaada iliyotolewa na Bohari ya Madawa (MSD) waliotoa Dawa na Vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 30.
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu mashuka 250 yaliyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akitoa taarifa kwa
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
Mwalimu kuhusu hatua iliyofikiwa na serikali katika kurejesha hali baada
ya tetemeko lilitokea mkoani humo ambapo pia alimshukukuru Waziri Ummy
kwa Misaada aliyoitoa wakati wanakabiliana na maafa ikiwemo, Madawa,
Vifaa tiba na madktari iliyowezesha kusaidia kwa kiasi kikubwa
waathirika wa tetemeko.
Waziri
wa Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu
akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Kagera na kuipongeza kamati ya mkoa kwa
namna walivyojipanga kukabiliana na athari za tetemeko pamoja na
kuwahudumia waathirika.
PICHA NA ELEUTERI MANGI-MAELEZO
No comments:
Post a Comment