HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 7, 2016

AJALI MKOANI DODOMA LEO, MTU MMOJA ADAIWA KUPOTEZA MAISHA

 Ajali hii imetokea leo katika eneo la Emaus, Mkoani Dodoma ambapo imehusisha gari kubwa mbili na moja dogo aina ya Toyota Noah. Inadaiwa kuwa Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mpaka sasa.
 Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuokoa majeruhi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad