Mtaa Kwa Mtaa Blog

Wateja wa Airtel washerehekea siku ya wiki ya huduma katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar

Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Lyamba (katikati) akiwa ameungana na wateja wa Airtel Tanzania bw. Meteli Masuwi (kulia) na bi. Amina Ramadhani (kushoto) kukata keki ya maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar Es Salaam.
Afisa mauzo wa Airtel Celine Njuju (kulia) akiwakaribisha wateja wa Airtel waliotembelea duka la Airtel katika kusherehekea wiki ya Wateja inayosherehekewa duniani kote kuanzia tarehe 3 – 7 mwezi wa kumi , maadhimisho hayo yalifanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Airtel Tanzania, Adrian Lyamba (katikati)akimlisha mmoja wa Wateja waliotembelea duka la Airtel bw. Meteli Masuwi katika maadhimisho ya wiki ya Wateja yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar Es Salaam.
Wafanyakazi wa duka la Airtel lililopo Morocco jijini Dar Es Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja katika wiki hii ya kusherehekea wiki ya Wateja inayosherehekewa duniani kote kuanzia tarehe 3 – 7 mwezi wa kumi , maadhimisho hayo yalifanyika katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar Es Salaam na kusherehekewa katika maduka yote ya Airtel hapa nchini.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget